Wanawake wajawazito wa kileo wanatembea nusu uchi, hakika wanatubaka kisaikolojia, tunateseka wanaume

Wanawake wajawazito wa kileo wanatembea nusu uchi, hakika wanatubaka kisaikolojia, tunateseka wanaume

Mna moyo wengine wangempa kibao
Kwetu Kuna mama mmoja ni yule mkunga wa zamani akastaafu wakamuomba awe anahudum klinik yaani wadada walinyooka
Kuanzia kuanza klinik had unapokuja na mtoto kliniki ole wako uje na kimin au kisuruali mara kitop mara manywele timtim aisee utaondoka Kwa aibu na hutarudia

Kuna Ile wadada kwenda kilinik na watoto kishua han hata kanga ya akiba nafikir Kam yupo hai Kila mwanamke aliepita pale alikaa sawa
Mko Afghanistan kwa Taliban?
 
Yaani Mwanaume kabisa unakula milo Mitatu unasema Mwanamke kutembea nusu Uchi kumtamani ni kujiendekeza? Serious kabisa Du kweli wanaume hatukuumbwa sawa, Yaan hapo ni Mawili anikute na Stress ama nisimtazame kabisa Vinginevyo Abdallah kichwa Wazi lazima Alete Cash cash za kutosha
 
Back
Top Bottom