Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hilo halina ubishi kabisa. Pigia msitariWanaume wengi ni wazembe sana kufuatilia afya zao. Wengine mpaka aanguke ndiyo inajulikana ana kisukari.
Korona hairembi.Wanaume wengi ni wazembe sana kufuatilia afya zao. Wengine mpaka aanguke ndiyo inajulikana ana kisukari.
Nani anataka kwenda kupima na mkewe halafu ukikutwa nao aanze kuropoka? Kila mtu akapimwe kivyake na apewe "karanga" zake kivyakeWanaume tunakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na
Nani anataka kwenda kupima na mkewe halafu ukikutwa nao aanze kuropoka?
Inatakakiwa public health awareness, hili ni tatizo la dunia nzima. Nchi nyingine zimeanzisha test mfano wa MOT kwa watu wote wenye miaka 40. Haijalishi uwe wa kike au wa kiume ukifikisha miaka 40 unapata mualiko kwa daktari. Unachekiwa kuanzia PB, mkojo, uzito, nk.Wanaume tunakwama wapi??
Kina baba na Kliniki wapi na wapi?Kama mtu anataka kwenda kliniki na mwenzi wake ni hiyari yake ila wakina mama wasinyanyaswe kwa sababu hio
Wanaume wengi ni wazembe sana kufuatilia afya zao. Wengine mpaka aanguke ndiyo inajulikana ana kisukari.
Wanaume tunakwama wapi??
Nani anataka kwenda kupima na mkewe halafu ukikutwa nao aanze kuropoka? Kila mtu akapimwe kivyake na apewe "karanga" zake kivyake
TUNAOGOPA TUTAENDA KUPIMWA NA UKIMWI, NANI ANATAKA PRESHA? 😀😀kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai