Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Psychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
Sahihi kabisa.
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Na huo ni ukweli kiroho na kimwili hata hanithi huona aibu kutokuwa na mke sembuse shababi ?
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Sio mafanikio ni takwa la asali, sababu kubwa ya wazungu kusumbuliwa na depression, suicide, drug addiction ni kwenda kinyume na matakwa ya asili, mafanikio yana sehemu yake katika moyo, na mahusiano pia
 
Yani huyu hata usipompenda yeye, ukamuhudumia mwanae, kwa kulipia maintaneshno skuli,basi umemaliza.
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Mambo mengine ni kumuachia Mungu hayo mambo huyu ni sahii huyu siyo ni magumu yanahitaj Neema ya Mungu
 
Psychological set up, tatizo kubwa la wanawake wa Kiafrika ni kutofanya mazoezi. Uchumi wako ukiwa vizuri, una afya njema, life goals, hutakuwa na muda wa kulala kanisani ukiomba ndoa.
NDIYO
 
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Institution ya ndoa ndio imefeli, ni kilio na kusaga meno ndani ya ndoa nyingi. Talaka kila kukicha. Ma lone rangers both male/female wanadunda and feeling good, real good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…