James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Sawa tajiri[emoji28]Yote yanasababishwa na umasikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tajiri[emoji28]Yote yanasababishwa na umasikini.
[emoji28][emoji28][emoji28] Ooh haleluya..sema Bwaaana Yeso asifiwe.Mbengooo zetafongokaaa humuu
[emoji28][emoji119]Sekooooo ya leeoooo
Mbengoooo zememuonekaneea
Mama mochongaajiii
Hakeeekaa zetafoooongokaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]Fongoooka fongooka
Pepo la uzenzeeee fongokaaa[emoji1787][emoji28]
Kweli. Yaami mimi sipendi kabisa kudeti na vitoto ya 20s, mashavu ya k yamelegea kama ya mzee.Nani kakuambia, kuna wasichana wa miaka 20 lakini wamechezewa kuliko hao wa zaidi ya 30. Kizazi hiki ni balaa
Una mchumba?Bado sana
Nimesema wanawake sio wa kuhurumia acha wapgike mpaka akili ziwakae sawa.
Oshey mr 💰🤣. Daaah unaakili sana mwana umedeal naye perpendicular kabisa mkuu 🤣Huu ni ukweli mtupu. Japo ni mchungu kwao. Kuna pisi kale niliifukuzia sana pindi tunasoma chuo ikanikatalia kabisa. Nilitumia njia zote za ushawishi ikagonga mwamba. Nikaachana naye nikaendlea na mambo mengine. Na hata tulipomaliza chuo bado aligoma kipindi hicho Sina kazi.
Mungu si athuman nikapata kazi kwenye kampuni ya kichina baada ya mwaka mmoja wa kuhitimu. Mambo yakawa sawa. Akaja akapata taarifa baada ya miaka 4 alirud kwa speed 4G. Nikawamwambia nitakukula ila sitakuoa. Akakubali. Nikagundua huyu sio wife material. Na kipnd hicho Mungu akanisaidia nikapata wife material. Leo anaelekea 35 Hana kazi na bado hajaolewa.
Kila sku ananisumbua nizae nae hata mtoto mmoja tu. Nami naruka aisee. Make nikimzalisha na Hana kazi itakula kwangu. Kila siku anabaki kunilaumu tu.
Ushauri. Mnapokua mko umri wa Sokon tumie mda huo kupata wanaumme. Mnaweka vigezo ambavyo hata kwenu havipo. Unataka mwanaume mwenye gari ili hali babako Hana hata baiskel
Igwe igwe igwe igwe 🙌🙌🙌😊😊Nimesema wanawake sio wa kuhurumia acha wapgike mpaka akili ziwakae sawa.
Ndoa ni muhimu kwa wanawake tuUwe na uchumi, husiwe nao ila kama ulishawahi kulamba asali lazima utalitafuta rungu la kipepe,hata uwe busy vipi tena hawa wenye pesa ndio wanasambaza pesa,ila mwisho wa siku wanaishia kudate na Mamarioo.
Tunadanganyana ndoa ni zaidi ya ngono, hasikudanganye mtu wawili ni wawili, kwenye maisha sometimes unakuwa na stress,unatafuta mtu wa kukufariji, kukufuta machozi kukutia moyo na nguvu kipindi unapopitia magumu.Hapo sasa ndipo mwenzi/mwandani/mke/mme wako anapoingia, ndoa ni muhimu sana ila tunajidanganya na usasa huu. Hata hao wanao zipinga wakikaa wenyewe wanajuta, upweke mbaya,upweke ugonjwa na upweke unaua.
Hakuna mwanamke ambaye ana miaka 30 alafu kwenye 20's hakuna mwanaume wa maana alimtongoza ila alimkataa kwa sababu anazozijua yeye Mungu hanaga upendeleoSasa mbona mnaongelea 30+ as if ndiyo wamechoka kwa uzinzi na wote walioolewa mapema waliolewa mabikra?. Point yangu ilikuwa kwamba kuolewa mapema haimaanishi ya kwamba ndiyo una tabia njema na hujatumika sana. Na kuwa single at 30s hakumanaishi kwamba una tabia mbaya na umetumika sana as wengi mnavyojumuisha humu.
AhahaaaaaKipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.