Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Twendeni mbele na kurudi nyuma...

Wanaume tuna huruma sana. Unakuta una Mke wako mzuri mwenyewe lakini kuna Bidada ameshaupiga mwingi hadi 30 something huko au ukute ni Single Mother flani hivi anakulilia shida mpaka unasema wacha nimsaidie mwishowe anakua mchepuko wako.

Kwakua 'Anarudia Mtihani' basi utakuhudumia vizuri ile Kifalme ukija kushtuka uko njia panda na unashindwa kuamua yupi ni yupi maana Wife kajinenepea karidhika hana maajabu tena, anajionea tabu tu kukuhudumia Aaf, keshakubadilisha na majina unaskia akiongea na wenzie mara akuite 'Baba Chanja' mara 'Mtoto wa MamaMkwe'.

Huku kwa Bidada/ Single mother daily it's like you're in a new sweet love story. Ooh!! Mara Baby hivi, mara Husband sijui nini..., Full mideko na uombe usiombe utapewa Papuchi kila style hata uwe mgonjwa utaonjeshwa kidogo.

Sasa unabaki 'Dilemma' huku mikono yote miwili imeshika Tama. Stress & Depression are your friends now.

NB: Kama bidhaa huitaki, usiiulizie bei inauzwaje. Ukiambiwa ipo kwenye Offer ya punguzo la bei, utafanyaje?
 
nimekuelewa sana
 
Nyie wadada wa 30's karibuni chemba tuyajenge. Niko serious you KNOW.
 
Hapo hujaweka mashoga, wala unga, walevi kupindukia, wale ambao jogoo hawawiki, ukitoa hawa real men wanakuwa wachache
 
Dhambi....unamuenjoy tu
 
Hapo hujaweka mashoga, wala unga, walevi kupindukia, wale ambao jogoo hawawiki, ukitoa hawa real men wanakuwa wachache
Hata kwa wanawake wapo, pia hata wewe hujaweka hizo figures zao, kwa hivyo hujajenga hoja yoyote.

Weka data kama mimi nilivyoweka, upinge data kwa data.

Acha speculations.
 
Hata kwa wanawake wapo, pia hata wewe hujaweka hizo figures zao, kwa hivyo hujajenga hoja yoyote.

Weka data kama mimi nilivyoweka, upinge data kwa data.

Acha speculations.
Thibitisha kama nilicholeta ni speculation
 
Hapo hujaweka mashoga, wala unga, walevi kupindukia, wale ambao jogoo hawawiki, ukitoa hawa real men wanakuwa wachache
Hii ni point sana, naomba kukazia.[emoji1754][emoji350]

Huku bila kuwasahau wale wanaokufa.
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Mwanamke huitaji ndoa Kwa udi na uvumba haswa umri unaposogea Ili impe heshima katika Jamii haijalishi ni bilionea Kwa maisha na Mila za Afrika ndoa Ina thamani kubwa sana, ni address na inaongeza kuaminiwa
 
Ni kweli ndoa ni nzuri lakini ni muhimu uingie kwenye ndoa na mtu sahihi. Usioe kwasababu umri umekwenda is kwasababu uliyekutana nae ni mtu sahihi kwako.
Sky. Umo ndoani? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…