Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Oshey mr πŸ’°πŸ€£. Daaah unaakili sana mwana umedeal naye perpendicular kabisa mkuu 🀣
 
Ndoa ni muhimu kwa wanawake tu
 
Hakuna mwanamke ambaye ana miaka 30 alafu kwenye 20's hakuna mwanaume wa maana alimtongoza ila alimkataa kwa sababu anazozijua yeye Mungu hanaga upendeleo
 
Ata kwa wanaume mkuu , ukifika 30 hauoni dalili za kesho yako unachanganyikiwaga mkuu
 
Ahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…