Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Heri ya sikukuu wana MMU.
Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea.
1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa kwenye kutembea nilikutana na kundi la madem 3 walikaa kama waajiriwa(Junior) au wanachuo hivi na age group yao kwa kuwaangalia ni 20's tu nilivyokuwa natembea nyuma yao mmoja aligeuka nyuma nakuniona akamkonyeza rafikiye na yy akaniangalia pia.
Ghafla nikaona wanaanza kucheka cheka 😡 nilijifanya kama sijaoni ila niliwasoma vizuri kabisa nikapita zangu huku nyuma nikasikia wananiongelea vi maneno ila sikuyasikia vizuri
2. Jana nimetoka kwenye ofisi moja maeneo ya Posta nilienda kufatilia ishu flani ilikuwa jioni ya saa 11 hivi natoka mara nashangaa nako kuna madem (wafanyakazi wa kikee) kama 4 kabla sijapita walikuwa wanaongea ongea mambo yao wakati napita mara nao wakanicheka yaabi unaona hapa ni mimi ndo ninayechekwa 🤔 duuh sikugeuka nyuma nikaendelea na safari yangu.
Hayo ni matukio mawili ninayoyakumbuka vizuri sasa wakuu hii ina maana gani?
N.B kwenye scenario zote sikusalimia demu yeyote sababu i dont greet strangers 😎.
Nakaribisha maoni
Hii picha haihusiani na mada 😁