Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chote / receptionNamaanisha sehemu gani ya mwili wako
Sina kabisa mkuu mi bado mdogo
Kwann umesema hivyo!Hauna madhara yeyote Kwao, likipita dume kama mimi hata huo ujasiri wa kunitizama usoni hawana.
Wakimwangalia matakoni wanamcheka. Jinsi anavyoyabinua.Wakikuangalia wapi?
Duuh!WANAJUA WE MWENZAO. WANAWAKE HUWA WEPESI KUWAHISI MASHOGA
Au sio?Wakimwangalia matakoni wanamcheka. Jinsi anavyoyabinua.
Au una MSWAMBWANDA mkuu?Heri ya sikukuu wana MMU.
Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea.
1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa kwenye kutembea nilikutana na kundi la madem 3 walikaa kama waajiriwa(Junior) au wanachuo hivi na age group yao kwa kuwaangalia ni 20's tu nilivyokuwa natembea nyuma yao mmoja aligeuka nyuma nakuniona akamkonyeza rafikiye na yy akaniangalia pia.
Ghafla nikaona wanaanza kucheka cheka [emoji35] nilijifanya kama sijaoni ila niliwasoma vizuri kabisa nikapita zangu huku nyuma nikasikia wananiongelea vi maneno ila sikuyasikia vizuri
2. Jana nimetoka kwenye ofisi moja maeneo ya posta nilienda kufatilia ishu flani ilikuwa jioni ya saa 11 hivi natoka mara nashangaa nako kuna madem (wafanyakazi wa kikee) kama 4 kabla sijapita walikuwa wanaongea ongea mambo yao wakati napita mara nao wakanicheka yaabi unaona hapa ni mimi ndo ninayechekwa [emoji848] duuh sikugeuka nyuma nikaendelea na safari yangu.
Hayo ni matukio mawili ninayoyakumbuka vizuri sasa wakuu hii ina maana gani?
N.B kwenye scenario zote sikusalimia demu yeyote sababu i dont greet strangers [emoji41].
Nakaribisha maoni
Hii picha haihusiani na mada [emoji16]
View attachment 2978277
Wala hata mi ni mwembamba tu. Mrefu lknAu una MSWAMBWANDA mkuu?
Ni wazi una kitu/jambo linalovutia watu kukuzungumzia.
Lazima Kuna kitu wakikuona wanacheka,huenda stail ya uvaaji wako,utembeaji wako,hawacheki bila sababu lazima Kuna kitu.Heri ya sikukuu wana MMU.
Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea.
1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa kwenye kutembea nilikutana na kundi la madem 3 walikaa kama waajiriwa(Junior) au wanachuo hivi na age group yao kwa kuwaangalia ni 20's tu nilivyokuwa natembea nyuma yao mmoja aligeuka nyuma nakuniona akamkonyeza rafikiye na yy akaniangalia pia.
Ghafla nikaona wanaanza kucheka cheka 😡 nilijifanya kama sijaoni ila niliwasoma vizuri kabisa nikapita zangu huku nyuma nikasikia wananiongelea vi maneno ila sikuyasikia vizuri
2. Jana nimetoka kwenye ofisi moja maeneo ya posta nilienda kufatilia ishu flani ilikuwa jioni ya saa 11 hivi natoka mara nashangaa nako kuna madem (wafanyakazi wa kikee) kama 4 kabla sijapita walikuwa wanaongea ongea mambo yao wakati napita mara nao wakanicheka yaabi unaona hapa ni mimi ndo ninayechekwa 🤔 duuh sikugeuka nyuma nikaendelea na safari yangu.
Hayo ni matukio mawili ninayoyakumbuka vizuri sasa wakuu hii ina maana gani?
N.B kwenye scenario zote sikusalimia demu yeyote sababu i dont greet strangers 😎.
Nakaribisha maoni
Hii picha haihusiani na mada 😁
View attachment 2978277
Basi hiyo ndyo sababu wakikuona wanachekaKwaiyo itakuwa kisa nimekonda?
Sema mi ni mwembamba kinoma kama njiti vile sijui chakula kinaendaga wapi asee.
🤣