Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

Au una MSWAMBWANDA mkuu?
Ni wazi una kitu/jambo linalovutia watu kukuzungumzia.
 
Lazima Kuna kitu wakikuona wanacheka,huenda stail ya uvaaji wako,utembeaji wako,hawacheki bila sababu lazima Kuna kitu.

Au ni handsome sana,
 
Ila maswali mengine ya ajabu sana.
Sasa sisi tutafahamu vipi wanachekea nini hali ya kuwa hatukufahamu..

Kingine utakuwa umesha experience suala hilo kwa walio karibu yako ndugu au marafiki hata wa kike, hivyo jibu unalo au jaribu jaribu kuwaeleza hili ulilosema hapa nadhani watakua na jibu sahihi zaidi sababu wanakufahamu.
 
Kajikague uone kama unapokua umechomekea (heshma) haituni??
Jitazame kwenye kioo kama unaweza uka confirms mfanano wako ni kama wa6ra??
Amasivyo, basi muulize mtu unae muamini akuambie kama ukitembea sehem zako za nyuma niztikisika ama nikubwa??
 
1.kama una kichwa kikubwa zingatia kuvaa mavazi yasiyobana sana.

2.kama umri wako ni 35+ punguza staili za vijana kuanzia haircut na code yaani nguo.

3.ukiwa unatembea kwa miguu punguza (ulugaluga) ya miondoko ya kishamba.

4.hakikisha bag lako la kazini siyo la kishamba au si la umri wako.

5.ishi maisha yako punguza kujishtukia,unaweza kudhuru mtu ukaishia pabaya.

6.jiamini,jikubali wewe ni wa pekee Mungu kakuumba hivyo huwezi kuwa kama fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…