Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

Mwanamke akicheka au kusmile akuonapo maana yake kubwa kuliko zote ni kwamba anajisikia salama, yaani hakuoni kama utamdhuru. Watoto nao wapo hivyo.
Hiyo ni dalili nzuri kama unamtamani kwa sababu inatengeneza urahisi wa kuongea nae.
Inaweza akawa anakupenda, au anakuona upo weird au umekaa funny.
Don't take it negatively kuwa upon weird or funny. Hizo zote ni gear nzuri za kuongea na mwanamke.
Ili mradi usimwambie kuwa anakuona ukicheka kila ukiniona.
Umsifie, anza kwa kuonyesha kuwa najua ushaambiwa Mara nyingi ......
Omba insta, siyo simu.
 
Penaine
 
Kwaiyo itakuwa kisa nimekonda?

Sema mi ni mwembamba kinoma kama njiti vile sijui chakula kinaendaga wapi asee.

🀣
Itakuwa ni sababu pia, watu wengi wana asili ya kushangazwa na muonekano wa mtu. Akiwa mnene sana au mwembamba sana kama mshale mange kimambi au mfupi au mrefu sana.

Sipendi watu wanaocheka watu na kuwateta wakatizapo, hata nikiwa na mtu akafanya hivyo huwa namuona lofa fulani hivi.
 
Wanakualika uwatongoze.
 
Eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…