Wanawake wakimachame si wakuoa!

X GIRL FRIEND

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
69
Reaction score
21
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
 
ha! Mi nilikua natarajia kufunga ndoa na bibie wa kimachame dec 28 niahirishe nini?
 
lakini ni wazuri na siku hizi wanajishugulisha kweli wakiwa kitand.ni
 
Pole kama yamekukuta. Ngoja waje hapa hapatatosha..
 

No research No right to speak. Umefanya hivyo la sivyo acha mawazo ya kizee!!!!!!
 
Ni kweli mi my uncle alitumiwa majambazi na mkewe auliwe ili mke arithi mali akaishia segerea na talaka juu now ana mtoto wa kiparee safiii mchudhi na picha ya thamaki kwa kwenda mbelee..life tamu hawafai hawa watu hata kwa ubani.
 
ni kweli mi my uncle alitumiwa majambazi na mkewe auliwe ili mke arithi mali akaishia segerea na talaka juu now ana mtoto wa kiparee safiii mchudhi na picha ya thamaki kwa kwenda mbelee..life tamu hawafai hawa watu hata kwa ubani.
asante kwa ushuhuda uliotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…