KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mmmm!!!!hizi stori huwa nazisikia sana. Sijui kunaukweli gn!:shock:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingawa unauma sio,....patatosha tu kwani hata wao wanajua huu ndo ukweli halisi
kwanini wasisemwe warombo,kibosho,uru,marangu,oldmoshi?mmmm!!!!hizi stori huwa nazisikia sana. Sijui kunaukweli gn!:shock:
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
keep on waiting only time will telli am married to machame girl ,up to now we enjoy our marriage.
nipigweje chini wewe,! hiki chuma cha mjerumani wametest wakablooKama umepigwa chini usiwalaumu!!!
Anakupa mda kaka... Subiri umri usonge ndio utajua kama ulikuwa una enjoy au vipi.I am Married to Machame Girl ,up to now we enjoy our marriage.
huna jipya.
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na mmachame mwenzie.
Mmmm!!!!hizi stori huwa nazisikia sana. Sijui kunaukweli gn!:shock:
keep on waiting only time will tell
Anakupa mda kaka... Subiri umri usonge ndio utajua kama ulikuwa una enjoy au vipi.
Pole kama yamekukuta. Ngoja waje hapa hapatatosha..
Khaaa! Wanchekesha. Nikuonee wivu nakujua? Uliwahi kuonea wivu kivuli??? Chungu kumeza ila jitahidi.Wivu wa kike huo. Tabia za watu haziendi kwa makundi.
ALA! kwani mwanzo atakuonyesha? Hawa ni vinyongaJamani sio wote. Ifike muda tuangalie tabia ya mtu mmoja mmoja sio ma group. Ni kosa kusema wamachame wote "Its Crazy to me". Great Thinkers open up ur mind.
wewee tabia za kike ni zipi?Wivu wa kike huo. Tabia za watu haziendi kwa makundi.