Wanawake wakimachame si wakuoa!

Mmmm!!!!hizi stori huwa nazisikia sana. Sijui kunaukweli gn!:shock:
 


I am Married to Machame Girl ,up to now we enjoy our marriage.
 

Ndugu yangu, umesahau wa singida (wanyiramba na wanyaturu)!! jaman hawa watu sisimuliwi ila niliona, ni wanaroho mbaya, ni wauaji wa wanaume na ndugu wa mume...... dahh Mungu alijua kuumba jaman, hadi hawa ni Mungu aliumba basi kazi ya Mungu haitafakariki jaman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…