Wanawake wakimachame si wakuoa!

Mmh, lisemwalo lipo jama!!!Baadaye....
 
mmmmmhhhh!!!! shimboni mka mangi?
Azawais no further comment!
 
masonic hawauwagi ajili ya pesa wanazo za kutosha
Binti wa Mengi nae ni Mmachame, kama unauhakika hawezi kuniuwa basi hauko sahihi kuwageneralise wanawake wa kimachame kwenye hii topic yako.
Nakubali kutokukubaliana na wewe kwenye hili.
 
NI KWELI NIMECHELEWA KUOA JE UKO TAYARI NIKUOE? please please! Say yes
 
Sidanganyiki.....tena we nitakurushia lile jiwe kubwa!! Alafu bado nina hasira na wewe, ulitusingizia sie warangi!!!
Ha ha ha! Mbavu zangu jamani lol... Ngoja nijipange kushusha mistari ya kukuomba msamaha!
 
Haha ha haa!u cmc umekataliwa na warembo wa kmachame dats y unalalamika.they ar expensive 2handle n aford dats y mnawakimbia.JIPANGE UPYA BWN HAMNA ANAEZALIWA NA ROHO MBAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…