Wanawake wakimachame si wakuoa!

Hii kitu ni kweli, baba mdogo alioa mmoja, daily ni bif hapo ndani, kila siku mama mkwe anaamua ugomvi,one day ugomvi ulizuka asubu, huyu mmachame alikuwa anakaanga maandazi yake akanyanyua karai zima zima akamwagia mama mkwe, bahati bibi aliweza kuikwepa hii kiasi kidogo kikamwagikia mguuni, ba mdogo kuingilia kati, mmachame akatoka na panga, ilibidi ba mdogo akimbie, mi nilikuwa nimesimama kwa mbali, ktk kufukuzana ba mdogo alipita karibu yangu mmachame naye alipita hapo akanigonga nikaanguka chini nikaumia bega, nilikuwa darasa la tano, kufika mbele ba mdogo alijikwa akaanguka huku mmachame anamfukuzia kwa spidi kaka naye alikuwa nyuma, wakati mmachame anataka kushusha panga juu ya uso wa ba mdogo pale chini kaka aliwahi na kuweka mgongo, panga likatua maeneo ya kuanzia kisogoni hadi mgongoni, bahati nzuri ni kuwa yule mama alishusha panga upande usiokata maana wakati ananyanyua panga hakuangalia ni upande upi wenye makali, hata hvyo broaliumia sana kisogoni na alipasuka japo hakupata effects ndani. Toka siku hiyo niliapa mmachame kwangu no, hata mtaani kwetu kwa lile tukio hakuna mzazi anayekubali mwanae aoe mmachame.yaani huyo mama alitengeneza image mbaya sana kwa wamachame na mpaka sasa wanawaogopa.
 
kwanini wasisemwe warombo,kibosho,uru,marangu,oldmoshi?
warombo wapole sana,kibosho wezi wanawaibia waume zao na kujenga kwao,marangu kutembea nje ya ndoa nikitu cha kawaida sana,uru washamba sana,old moshi kama wamarangu,
 
warombo wapole sana,kibosho wezi wanawaibia waume zao na kujenga kwao,marangu kutembea nje ya ndoa nikitu cha kawaida sana,uru washamba sana,old moshi kama wamarangu,

Duh! Ila ungeambatanisha na ushahidi ingenoga sana.
 

mi nakukimbia aiseee!
 

Wewe na huko kwenu wote washamba tu. This has got nothing to do with wamachame tu, kwani wanawake wenye hasira ni wamachame tu?? Huko kwenye makabila mengine hawapo? What about kule Tarime??
 
mfa maji haachi kutapatapa umemwagwa sasa unaaanza kumwaga sumu .......pia uelewe tz hatuna ukabila wa kihivyo mbona wameolewa wengi na bado ndoa zao ziko strong??
 
SULUHISHO: wewe unayewasimanga wamachame pleas NENDA KAOE KABILA LAKO NA Ni MARUFUKU kuanzia
LEO KUWATONGOZA WAMACHAME
NY*** mbafu xxxxxxooo , we are stars ndio maana tunasemwa sana.

mbona povu linakutoka mdomoni? Nawapendaga hapa tu! Kutukana nje nje.
 
Hawafai kuolewa kabisa ni vimeo vya hatari, mvuto wenyewe wa kuungaunga wanawaza hela tu.

Hafai kuolewa huyo unaemjua we mwenyewe, pesa ndo mpango mzima.......why not wasizisake achilia mbali kuwaza tu! Btw, hivi ni nani anayeweza kujitokeza hapa atuambie kama kwao hakuna hao wanawake wenye mvuto wa kuunga unga kama ulivosema mwenyewe??? Jisachi....!!!
 
Hii sio utani jamii yafaa isilifumbie macho suala hili, nina shuhuda mbili lakini hii moja ya jirani yangu ni LIVE!. Nilipohamia jirani yangu ambaye alikuwa anafanya kazi TRA alikuwa ananisimulia jinsi alivyoanza maisha akitembea kwa miguu na huyo mkewe wa kimachame umbali wa kilometer 5 hivi kwa miguu wakati wakijenga makazi yao mapya. Baadaye wakafanikiwa kuwa na mji wao mzuri wenye mifugo kibao,kuku,bata,mbuzi nk, mashine za kusaga na kukoboa, maguest house, magari nk. Baadhi ya watu wakaanza kunong'ona mtaani "Huyu jamaa ataishi kweli na mali alizonazo" "lazima mama amuondoe". mimi kwa vile sikuwa na upeo na kuamini mambo hayo nikapuuzia. Lakini cha ajabu baada ya muda mfupi kilichotokea ni vile vile, Jirani yangu hakuugua, alfajiri nikasikia kuna msiba kumbe huyo jirani yangu kafa- kwa kweli sikuamini masikio yangu, Tukamzika kiutaniutani.
 
Kumbe bora wamakonde ambao unaoa mmoja lakini wanahamia kwako ukoo mzima halafu unawasahau familia yenu!!
 

Vipi mwisho wa yote jamaa aliuliwa ama bado yuko hai?
 
Kuna msemo usemao - MTI WENYE MATUNDA MENGI NDIO UNAOPIGWA SANA MAWE.

Dunia hii yenye kujaa masharobaro,lazima tu watachukia wanawake sio tu wamachame,bali wote wanaochapa mzigo kama wao.
 
...yasemwayo kuhusu ubaya wa waMACHAME girls ni kweli. Ukioa huko halafu ukawa nazo za ukweli, basi ujue hutakatiza 50yrs, unless uko Kamili-gado. Statistics ndo zinaongea hivyo. God bless. Kama kidume unabisha ...OA MMOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…