Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Hii kitu ni kweli, baba mdogo alioa mmoja, daily ni bif hapo ndani, kila siku mama mkwe anaamua ugomvi,one day ugomvi ulizuka asubu, huyu mmachame alikuwa anakaanga maandazi yake akanyanyua karai zima zima akamwagia mama mkwe, bahati bibi aliweza kuikwepa hii kiasi kidogo kikamwagikia mguuni, ba mdogo kuingilia kati, mmachame akatoka na panga, ilibidi ba mdogo akimbie, mi nilikuwa nimesimama kwa mbali, ktk kufukuzana ba mdogo alipita karibu yangu mmachame naye alipita hapo akanigonga nikaanguka chini nikaumia bega, nilikuwa darasa la tano, kufika mbele ba mdogo alijikwa akaanguka huku mmachame anamfukuzia kwa spidi kaka naye alikuwa nyuma, wakati mmachame anataka kushusha panga juu ya uso wa ba mdogo pale chini kaka aliwahi na kuweka mgongo, panga likatua maeneo ya kuanzia kisogoni hadi mgongoni, bahati nzuri ni kuwa yule mama alishusha panga upande usiokata maana wakati ananyanyua panga hakuangalia ni upande upi wenye makali, hata hvyo broaliumia sana kisogoni na alipasuka japo hakupata effects ndani. Toka siku hiyo niliapa mmachame kwangu no, hata mtaani kwetu kwa lile tukio hakuna mzazi anayekubali mwanae aoe mmachame.yaani huyo mama alitengeneza image mbaya sana kwa wamachame na mpaka sasa wanawaogopa.