DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa kwanini wanakosa mikopo hiyo licha serikali kutoa agizo kwa halmashauri zote nchini kutoa fedha za mikopo kutokana na asilimia kumi ya mapato yao.
Majibu ya Serikali ~ Katavi: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika yasema imetoa mikopo kiasi cha Tsh Bilioni 1.1