Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Inategemea km unataka kumiliki kila ukijisikia upige lazima na uombaji wa pesa ubadilike..!!

Halafu soma tena nilichoandika uelewe usiwe unakurupuka..!!
Tabia yenu ya kuomba omba hela inafanya wengi wenu mnaishia kuolewa na wanaume ambao hamjavutiwa nao kimapenzi, sasa si mateso hayo Lamomy To yeye
 
Inategemea km unataka kumiliki kila ukijisikia upige lazima na uombaji wa pesa ubadilike..!!

Halafu soma tena nilichoandika uelewe usiwe unakurupuka..!!
Japo kiukweli inakera sana wanawake kuomba omba hela kila mara but nikijaribu kuvaa viatu vyao kuruhusu mwanaume kujitombeah **** bure pia inafikirisha sana.
 
Nikipiga hesabu naona Bora nipaki na beer tu
 
Kuna nyonya damu fulani nshaanza kuview status zake za birthday is loading, Muda mrefu kitu kizito kitanishukia, hvy nshakaa kitaalam 😂
 
Ukiondoa Hilo tundu ulilo nalo basi huna kingine cha maana??? Unaona unastahili kuomba hela ovyo kama Omba omba kwasababu umepasuka mara mbili katikati ya miguu???
Hyo mistari miwili ya mwisho umetumia lugha kali sana na kwa wapenzi wa hiphop mara ya mwisho huo uandishi walikua wanauona kwa the late 2 Pac.
 
Tulia na mke wako mkuu. Hivyo vitu anavyotaka mchepuko ukimpa mkeo nusu yake tu wala hutafikiria kuhangaika. Michepuko tupaipenda tu kwa sababu ya mbususu ila gharama zake ni kubwa. Kutelekeza familia, nuksi, kuchezea hela, magonjwa etc
Inatofauti gani na ile ya home
 
Duh bado unamuwaza
Let the past be the past
 
Yaaani wakati nasoma hii thread Nimepokea Message inayosema kama ifuatavyo, Nitamuita aliyenitumia jina la Vicky (jina bandia ili kumsitili )

Vicky - Daddy Nikumiss .....
Daddy - Hujambo wewe zatola juzi?
Vicky - Daddy kuna jambo nataka nikwambie lakini naona haya.
Daddy- Niambie tu usihofu
Vicky - Nitumie elfu 50 nikanunue chupa mbili za wine niondoe mawazo juu yako ......
Daddy - Kimya.....
Sijamjibu mpaka muda huu kwani juzi tulispend time together nikampa 35k ya " Nauli " imagine wakuu.... na hii siyo mara ya kwanza au ya hamsini ....... ni kama wimbo ..
..
 
Unacholewa kabla hujapoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…