Pre GE2025 Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Am 27. Siku nikiwa Rais nitatunga sheria ya kufuta hadhi ya Urais kwa Marais wote waliopata nafasi ya kuongoza na kuishia kuzurura na kutapeli wananchi. Huyu anayechangiwa ya fomu na wajinga nitamfuta siku hiyo hiyo
Utaishia kuota ndoto za alinacha 🀣🀣
 
Mama angejua kwamba fomu zitachapishwa nyingi na atashangaa hiyo siku akidhani mwenye fom ni yeye pekee kumbe na wagombea wengine watakuwa na fom kiukweli atachanganyikiwa na kuzimia na hilo linasukwa Kwa ustadi mkubwa sana, kisaikolojia ajipange kurudi kizimkazi
 
Form 1 tu 😁😁😁😁 aisee acha kazi iendelee hivi kwani katiba ya ccm inasemaje?
 

View: https://www.instagram.com/p/C4QnwpMt_ju/?igsh=MXVoM2x2aGUwZ2E2ag==
 
Ana Haki ya kuchangiwa,amewaheshimisha kina mama πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C4caziSNxG8/?igsh=MXRkZWd1ZnZxdnU4bg==
 
Kwani form shs ngapi? au ni kihehere tu
 
Nimeona watu wamemchangia Mama Samia milioni 120 kwa ajili ya kuchukulia fomu 2025. Watu hao wanaongozwa na Kassim Majaliwa waziri mkuu wetu.

Swali langu ni Je ni halali kwa Mama Samia na wapambe wake kuanza kampeni kabla ya wakati?

Je haiwezekani kuwa Kassim Majaliwa anamtengenezea Mama Samia ajali ya kisiasa? Katiba ya CCM na Maadili yake vinasemaje?
 
Tume itamuondoa kwa kukiuka taratibu za uchaguzi.
 
Kwani kaanza kampeni?

Hiyo michango sio kampeni bali ni fursa ya chawa kuokota maokoto kwa jina la bi Kizimkazi.

Msimzushie mama k
 
Kwani lini waliacha hizo siasa za kampeni. Tokea ameapishwa walianza siasa za 5 tena.
 
hiyo kampeni imetangazwa wap na inafanyika wap πŸ’

una copy yao ya ilani ya uchaguzi tuone vipaumbele vyao πŸ’
 
Wanasema anamalizia awamu ya 5
Wameikama awamu ya 6 waliokuwa wanaitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…