Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaishia kuota ndoto za alinacha 🤣🤣Am 27. Siku nikiwa Rais nitatunga sheria ya kufuta hadhi ya Urais kwa Marais wote waliopata nafasi ya kuongoza na kuishia kuzurura na kutapeli wananchi. Huyu anayechangiwa ya fomu na wajinga nitamfuta siku hiyo hiyo
Bado hujasema Hadi useme 😆😁Kampeni ya mapema ya Nini?. Tume ya kwake na jeshi la kwake. Huu ni zaidi ya ujuha.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.
Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.
=====
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.
Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.
My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.
Tukutane Oktoba 2025.
View: https://www.instagram.com/reel/C4WBWUJMTLS/?igsh=aGZjNnV2azN4ajcz
Inaunga mkono Rais SamiaForm 1 tu 😁😁😁😁 aisee acha kazi iendelee hivi kwani katiba ya ccm inasemaje?
Hata zikichapishwa buku hakuna wa kuchukua kumchallenge SamiaMama angejua kwamba fomu zitachapishwa nyingi na atashangaa hiyo siku akidhani mwenye fom ni yeye pekee kumbe na wagombea wengine watakuwa na fom kiukweli atachanganyikiwa na kuzimia na hilo linasukwa Kwa ustadi mkubwa sana, kisaikolojia ajipange kurudi kizimkazi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.
Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.
=====
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.
Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.
My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.
Tukutane Oktoba 2025.
View: https://www.instagram.com/reel/C4WBWUJMTLS/?igsh=aGZjNnV2azN4ajcz
😂😂😂😂 chama mfuInaunga mkono Rais Samia
hiyo kampeni imetangazwa wap na inafanyika wap 🐒Nimeona watu wamemchangia Mama Samia milioni 120 kwa ajili ya kuchukulia fomu 2025. Watu hao wanaongozwa na Kassim Majaliwa waziri mkuu wetu.
Swali langu ni Je ni halali kwa Mama Samia na wapambe wake kuanza kampeni kabla ya wakati?
Je haiwezekani kuwa Kassim Majaliwa anamtengenezea Mama Samia ajali ya kisiasa? Katiba ya CCM na Maadili yake vinasemaje?