Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

Uzinzi una hasara zaidi kwa mwanaune kuliko faida,maana ukituliza akili utaona hakuna faida yeyeto unapata pindi baada ya kupiga push
 
Oya wakuu punguzeni nyuzi za kulalamika. Si miachane nao, anaefanya wawe higyo ni sisi wanaume. Wewe unalialia hapa kuna mwenzio anahonga alphad huko. Wako akiona hivyo nar anataka mwanaume wa kumpa hata ist hapo ndio mnaanzankuwaona malaya, ombaomba nk.

Kimsingi ukiona hana vigezo vyako piga chini tu tafuta mwingine. Au kama vipi jiungr chaputa
 
Wanawake wa siku hizi hawafai kuolewa we chapa mteme mpaka akifika 28years huko kashachoka rudi chini chukua wa 22 years endelea kuenjoy, wanawake watadanga na kuchuna sana wanaume but mwisho wa siku wao ndo watakaoumia kwa kuongeza body count, muda hautamsubiri, atatumiwa mara nyingi zaidi na kuachwa na mwisho kua single mom kabisa, NATURE IS CRUEL TO MEN TIME IS CRUEL TO WOMEN, THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR that's it👊🏿
 
Back
Top Bottom