Wanawake wameyageuza makanisa kuwa kimbilio la kupata wanaume wa kuwaoa

Na huyu wa kanisa akikuganda kama kupe aisee tena uumkute single maza. Atakupea yote yaani akushawishi umuoe

Mungu atusamehe tunawakula mwisho wa siku hatuwatimizii lengo lao la kuolewa
 
Nimekutana na mrembo mmoja anakaribia 35. Hana mtoto na hajawahi kuolewa. Ni mzuri hasaa. Nikarusha ndoano. Akaniuliza, " kanisani huwa unahudhuria mara ngapi kwa wiki? nikamjibu kwamba huwa siendi kabisa. Akaniambia siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambae haendi kanisani. Ni bora mara mia kuwa na mlevi anaekwenda kanisani hata mara moja😀
 
Nimekutana na mrembo mmoja anakaribia 35. Hana mtoto na hajawahi kuolewa. Ni mzuri hasaa. Nikarusha ndoano. Akaniuliza, " kanisani huwa unahudhuria mara ngapi kwa wiki? nikamjibu kwamba huwa siendi kabisa. Akaniambia siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambae haendi kanisani. Ni bora mara mia kuwa na mlevi anaekwenda kanisani hata mara moja[emoji3]
Niliwahi kosa demu kisa nilimchana ukweli mm sina dini
 
Nimekutana na mrembo mmoja anakaribia 35. Hana mtoto na hajawahi kuolewa. Ni mzuri hasaa. Nikarusha ndoano. Akaniuliza, " kanisani huwa unahudhuria mara ngapi kwa wiki? nikamjibu kwamba huwa siendi kabisa. Akaniambia siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambae haendi kanisani. Ni bora mara mia kuwa na mlevi anaekwenda kanisani hata mara moja😀
jiulize sasa kwanini na uzuri wote huo mpaka sasa hajaolewa? ni shida hapo.
 
Nimekutana na mrembo mmoja anakaribia 35. Hana mtoto na hajawahi kuolewa. Ni mzuri hasaa. Nikarusha ndoano. Akaniuliza, " kanisani huwa unahudhuria mara ngapi kwa wiki? nikamjibu kwamba huwa siendi kabisa. Akaniambia siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambae haendi kanisani. Ni bora mara mia kuwa na mlevi anaekwenda kanisani hata mara moja😀
Hahahahahah dah umezingua. Ungemwambia mara 3 na kwa sasa umepunguza ila ulikuwa hukosi ibada ya morning glory kila siku
 
KANISANI NDIO ENEO PEKEE KILA MTU NI MWENYE UKARIMU, HESHIMA, ADABU, UNYENYEKEVU, UTII, LUGHA NZURI-WEPESI WA KUTAMKA SAMAHANI, POLE, ASANTE AMEENI!!
Nakumbuka kuna mama aligoma kunitakia amani kipindi tupo kanisani, kuna ule mda Padre anasema sasa takianeni amani bwana wee nikaanza kugawa mikono nilipofika kwa yule mama akagoma kutoa mkono, nikasema hapa hakuna kanisa hawa wengine wadangaji tu shenzi type
 
Mkuu, chonga funguo ya gari ya kugushi. Halafu ivae kidoleni, muda wa kutakiana amani unaweza pigiwa na kagoti ka mchongo
 
Nimekutana na mrembo mmoja anakaribia 35. Hana mtoto na hajawahi kuolewa. Ni mzuri hasaa. Nikarusha ndoano. Akaniuliza, " kanisani huwa unahudhuria mara ngapi kwa wiki? nikamjibu kwamba huwa siendi kabisa. Akaniambia siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambae haendi kanisani. Ni bora mara mia kuwa na mlevi anaekwenda kanisani hata mara moja😀
Aaah hawa watu akili zao inabidi zipigwe busti
 
Unakuta kanisa zima limejaa wanawake tupu mwanaume ni mchungaji pekee. Inafikirisha!
Na mbaya zaidi unakuta kila mwisho wa juma, wanapeana zamu ya kupeleka msosi kwa mchungaji. Mwanamke anatoka ndani na mahotpot, tena mchungaji anapikiwa vizuri kuliko hata mwanaume wa ndani

Mimi niliamua kufukuzia mbali ile mbwa takataka.Mi nakula chukuchuku, mchungaki anarostiwa!!?
 
Back
Top Bottom