Wanawake wameyageuza makanisa kuwa kimbilio la kupata wanaume wa kuwaoa

Mbali na kukimbilia makanisani ,kupoteza muda na hela nyingi sana huko kwa manabii na mitume lakini bado soko lao la kuolewa linakuwa gumu zaidi mfano hakuna .

Kwangu mimi nitaendelea kuwawekea ugumu na vikwazo sana wanawake waliokimbilia huko kwani mimi siwezi oa mwanamke anayeshinda kanisani siku za kazi na muda wa kumwandalia mumewe chakula cha jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…