Wanawake wana siri nyingi sana

Wanawake wana siri nyingi sana

Tuingie front

Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie.
Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka.
Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu zangu waliokufa vita ya pili ya dunia namie chozi likanitoka.
Tena mi ndo napiga mikelele kabisa.
Basi akaacha machungu yake kaanza kunibembeleza.
Baada kunyamaza ndo tunasimuliana.
We vp imekuwaje unalia?
Yeye kanipa story ya kumfuma jamaa yake mshamba mmoja hivi alikua pia humo bongo movie.
Dah mi story niliotoa hata sikumbuki ila ilikua fix tu.
Tukafarijiana yakaisha.
Ikawa sasa tufanyeje.
Mi hapo nikikumbuka gheto kuna kibinti kimoja kimachame kimbaumbau hivi ila kizuri sijui km huyo jacky mengi(usinifungulie mashtaka ni mfano tu[emoji849])
Hicho tulikutana kikiwa form three.
Mi nilikua nimetoka kuachana na bibi mwingine alienipenda sana Aida.
Aida nilimfukuza mwenyewe, badae nikammis mpk basi akagoma kurudi.
Kujipooza ndo nikapata hiki kibinti kimachame.
Mpk leo kimeolewa nikikiangalia naona hapa ilikua dodo langu hili bado kazurii.
Tatizo kamejifunza matusi tu.
Sasa nikipiga simu tu salamu ni "WE SHETANI BADO UNAISHI"
(Nna binti naye 20 yrs now)
Tukirudi kwa mmarangu kule juu.
Tunywe maji kwanza.
Unakwama wapi mkuu rudi umalizie chai yako
 
Haya katika hiyo mambo siku hiyo tumepiga mzungu wa nne mtoto analazimisha.
E bwana kibinti nafkiri kilikua 19 hapo.
Mi nilikua busy makahaba nje huku.
Sasa nikaona isiwe tabu
Tukalambana pale
Nikafungua goli.
Nilikua wa kwanza(bikra)..
Duh kumbe kanitega akae pale km mke.
Kumbuka mwaka mzima niko nae sijamgusa.
Lakini Neema alivyokua ana ni take care kama mumewe.
Kutoboa jiko nikaona isiwe tabu
Si akae tu maskani nikirudi nakula mbususu nalala.
Bwana eeh mmachame yule kumbe anafocuss mbele huko.
Mara mimba pa.
ananiambia nna mimba yako 🙆‍♀️
Swali la kijinga
"nani alikuambia ushike mimba?
Si wewe umenitoboa na siku zote mi nipo hapa unantumia tu .
Sasa nazaa na wewe.
E bana mi siko tayari kuwa na familia katoe.
Mnywe maji kwanza kama kwenda kigoma ndo kwanza tupo chalinze😁
 
Chhb notify bhnkkd nmfffujk asubuhi hii jamani[emoji848]

Ila kwa awamu hii nimeingia cha kike na date na mmarangu yaani ikifika wikiendi tu ndio naitwa majina mazuri mazuri baby, sweetheart, nipe ratiba yako leo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Na mpango wa kumuacha maana nikipiga hesabu na huu mshahara wangu wa uticha ndio nachoka kabisa.

Ila toto ni toto kweli, guu hilo lina jua mambo hatari sema ila na mpango wa kumpiga chini hivi karibuni [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole sana, mambo yao waachie wenyewe, siku nyingine usiwakalie uchi...
 
Back
Top Bottom