Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekula chumvi nyingi mkuuWatu na PhD zenu za uzoefu wa mambo yetu🤣🤣🤣
hv mnavijua vitoto vya kilatino nyie, vinaanza kungonoka vikiwa below 15 et, huyo bint usikute mwamba ndo anaomba mma.Jamaa kama huyo ana kibamia lazima
😂Wanaume hamjui maumbile yenu?
Huo ni mwili tu! Mpaka mdada yupo comfortable hivyo jua jamaa ana bamia na sio bilinganya.
Fear womenOgopa sana kiumbe Ke. Sasa naanza kuelewa kwanini mwanamke anasifika kuwa ni kiumbe kivumilivu. Mwanamke anaweza vumilia chochote ili tu apate kitu flani (kwa maisha ya sasa ni pesa). Kuna jamaa humu JF kupenda kuuliza kuwa hivi huyo uliyemuoa ni mkeo? Huwa ana maana kubwa sana.
Sasa hapo wanaweza ku enjoy hata kwa zaidi ya miaka miwili au hata wakaoana baada ya miaka hata 10 huko utasikia dem kaanzisha timbwili la Christina Shusho eti sina amani na huyu mwanaume au upuuzi mwingine tu. Au baada ya muda utakuta kibinti kinamburuza mwana mahakamani kwa kesi za akina R Kelly, Dan Alves, Benjamin Mendy nk.
Guys women, women, women, sijui wanatupeleka wapi🥲