Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nayo utasema ni sababu ya nguvu aliyonayo mwanamke!!?. kuna watu wanawatoa wapenzi zao shopping za nguvu na kula lunch kempinski wakati wao wanashindia chipsi dume lol
kuna kaka tulikuwa nae 2nd yr UDSM, alipata demu aliyemkeep busy mpaka akaanza kukosa lectures. ilibidi arudie mwaka baada ya sisi kuingilia kati suala hilo, kuna mwingine alipanga chumba na demu wake mwishowe akampa mimba na yeye (kijana) akadisco. so yes wanawake mna nguvu kubwa, unfortunately wengi huitumia katika kubomoanayo utasema ni sababu ya nguvu aliyonayo mwanamke!!?
Cha ajabu bible hiyo hiyo anasema aliye dhaifu ni mwanamke.......