Wanawake wana Uwezo wa kushangaza!

Wanawake wana Uwezo wa kushangaza!

Madame X,ni kweli Samson alikua na mapenzi ya kweli,mtoa mada hakua anazungumzia ulaghai wa mwanaume.Alikua anazungumzia nguvu ya ushawishi aliyonayo mwanamke!
 
Wapenzi wengi wanaunganishwa pamoja na matamanio ya miili na material thngs na si upendo wa kweli. Kuambiana siri hapo ni ngumu. Samson alimpenda mkewe na mkewe alionesha uaminifu ndio maana ilikuwa rahisi kujua siri.
 
nayo utasema ni sababu ya nguvu aliyonayo mwanamke!!?
kuna kaka tulikuwa nae 2nd yr UDSM, alipata demu aliyemkeep busy mpaka akaanza kukosa lectures. ilibidi arudie mwaka baada ya sisi kuingilia kati suala hilo, kuna mwingine alipanga chumba na demu wake mwishowe akampa mimba na yeye (kijana) akadisco. so yes wanawake mna nguvu kubwa, unfortunately wengi huitumia katika kubomoa
 
Cha ajabu bible hiyo hiyo anasema aliye dhaifu ni mwanamke.......

Na bible hiyohiyo inasema Mungu ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume! yamkini ni wadhaifu kimaumbile bali nia zao na nafsi zao ni jasiri kama simba!
 
Back
Top Bottom