Wanawake wana wivu sana

Wanawake wana wivu sana

Fanya hivi mfanyakazi awe mke mkubwa

Huyo mwanae awe mke mdogo.

Wasaidiane majukumu ya kukupa burudani kila mmoja kwa wakati wake.

Siku ukihitaji vitu pigia leo huyu akuletee maeneo flani nyandua, kesho tena pigia mwingine akuletee mahali flani nyandua maisha simple sana haya.

Kumbuka wanaume hatukatai wanawake hata iwaje ila tunaangalia wapi tukojoe ndani na wapi tukojoe nje na ni yupi wa kuongozana nae barabarani na yupi siyo. Akili kichwani kwako maana hilo ni jambo dogo sana kulihandle kama mwanaume
 
Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma.

Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke.

Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana.

Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana.

Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia.

Namuonea sana huruma huyo binti maana anapitia magumu kwa ajili ya wivu wa kijinga.

Sasa huyu bi mkubwa ananilazimishia mwanae wakati nimemuelewa mfanyakazi wake??

Wivu mbaya sana.
Tabu iko pale pale mpk kwenye nyumba za kupanga wenye nyumba hukoadia watoto wao. Hivo ni kua makini tu
 
Back
Top Bottom