Wanawake wanaficha umalaya wao hivi, ni rahisi kuwajua

Mwanamke akikuambia "mimi wala sipo hivyo kama unavyonichukulia" basi ujue yupo hivyo hivyo kama unavyomchukulia.

Au akikuambia "mimi hua sifanyi hivi, ni kwako tu imetokea hata sijui imekuaje?" Hapo ujue unapigwa. Akili kumkichwa.
Au,.."mie najitambua sio kama wengine". Jua hiyo chupi mkononi.
 
Uaminifu na tamaa hivi vitu havikai sehemu moja. Kwenye uaminifu jua tamaa haipo ila penye tamaa jua uaminifu hauwezi kuwepo.

Kama demu wako ni mtu wa matamaa tamaa jua lazma agongwe gongwe hovyo. Mfano mwepesi ni demu anaependa hela na urembo bila shughuli rasmi ya kumfanya ajiweze. Hawa wengi kwa tamaa hugongwa hovyo hata kama ana mtu anayempenda ila tamaa humzidia tu na kuchenjuliwa huwa ni kawaida.

Kama demu wako ni mtu wa.......
 
Sasa kwa mfano demu anapenda vitu vipya alaf wewe unashindwa kumhudumia vizuri lazima wahuni wamtombe tu,
Au unapiga kimoja chali unamuacha na hamu kibao lazima wahuni wamkunee
au lijanaume lenye asira za ajabu ajabu au humdumii yeye ndo anajitaftia anakulisha nawewe
#Wanawake wanaumia sana
Mwanamke hawezi kukusaliti hata siku moja akikupenda kwa moyo wake wote atakuona kama ww ni mungu kwake,kwahyo hata akitaka kukusaliti anasita labda unamuona
 
Wanawake ndo viumbe pekee duniani havijui vinataka nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16592532998609835.jpg
 
Mwenzenu nishapigwa hapa sound bar tv lg smart na laki 260.
Hivi nahaha na rb yangu kumtafuta mtu ambae cjui atapatikana wapi na wakati mie nilipanga ndio mwanamke wa kumuoa🥺🥺🥺🥺
 
#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake wengi wapo hivi ni wanafiki wakiwa na wachumba wao. Ogopa demu anayejifanya kutotoa viashiria vya salamu, urafiki au ukarimu kwa wanaume ukiwa naye. Anakupumbaza tu
Ukikutana naye ukaona kitu cha kwanza anauliza kama umenunua helmet, ujue ni mzoefu
 
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi.

#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake wengi wapo hivi ni wanafiki wakiwa na wachumba wao. Ogopa demu anayejifanya kutotoa viashiria vya salamu, urafiki au ukarimu kwa wanaume ukiwa naye. Anakupumbaza tu

#Mara nyingi hupata dharura Kama huwa una ratiba ya kufanya naye mambo fulani ya msimgi Kama kumwelekeza biashara nk. Kama unamtongoza na mkapanga mtoke akapata dharura kila siku, jua kwamba anamegwa tena ujue dharura mmpewa mambumbumbu wengi. Atasema nimeitwa na mama kumbe ananyonya koni.

#Wana vibiashara vidogo Kama karanga au pipi ambavyo huwakutanisha na wanaume wengi. Anaweza akawa na kiofisi kidogo Kama kiduka kidogo ili kila siku ajipatie danga jipya. Anajifanya ana duka ili jamii isijue kuwa yeye ni malaya.

#Hukataa wanaume anaofanya nao kazi sehemu moja. Hujifanya mtu wa Mungu mbele yao. Huposti vitu vya Mungu status. Ndugu zangu huko nje hawa watu huwa ni balaa[emoji16]

#Wacha Mungu ni malaya sana. Kuwa nao makini.
"#Wacha Mungu ni malaya sana. Kuwa nao makini".

The above assertion is what we term as 'fallacy of generalization'.

Unakosea sana kusema WOTE wanaoshinda makanisani ni malaya, labda ungesema BAADHI yao.

Mungu akuhurumie.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
Nilikutana na mmoja nkajua nipo peke yangu kumbe kuna mwingine, hadi nikahisi dini amefosiwa. Mimi nilijua nimepata wa peke yangu lakini ana mwingine.
Wa peke yako, hawahawa😁
 
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi.

#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake wengi wapo hivi ni wanafiki wakiwa na wachumba wao. Ogopa demu anayejifanya kutotoa viashiria vya salamu, urafiki au ukarimu kwa wanaume ukiwa naye. Anakupumbaza tu

#Mara nyingi hupata dharura Kama huwa una ratiba ya kufanya naye mambo fulani ya msimgi Kama kumwelekeza biashara nk. Kama unamtongoza na mkapanga mtoke akapata dharura kila siku, jua kwamba anamegwa tena ujue dharura mmpewa mambumbumbu wengi. Atasema nimeitwa na mama kumbe ananyonya koni.

#Wana vibiashara vidogo Kama karanga au pipi ambavyo huwakutanisha na wanaume wengi. Anaweza akawa na kiofisi kidogo Kama kiduka kidogo ili kila siku ajipatie danga jipya. Anajifanya ana duka ili jamii isijue kuwa yeye ni malaya.

#Hukataa wanaume anaofanya nao kazi sehemu moja. Hujifanya mtu wa Mungu mbele yao. Huposti vitu vya Mungu status. Ndugu zangu huko nje hawa watu huwa ni balaa😁

#Wacha Mungu ni malaya sana. Kuwa nao makini.
Mkuu kama ulipewa ukala si bora utupe jobless konekshen na sisi tukajionee kuliko kuwa sema hapa .... Acha roho mbaya mzee mwanamke kazi yake nikutupa raha ...sisi kaziyetu ni kutafta pesa
 
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi.

#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake wengi wapo hivi ni wanafiki wakiwa na wachumba wao. Ogopa demu anayejifanya kutotoa viashiria vya salamu, urafiki au ukarimu kwa wanaume ukiwa naye. Anakupumbaza tu

#Mara nyingi hupata dharura Kama huwa una ratiba ya kufanya naye mambo fulani ya msimgi Kama kumwelekeza biashara nk. Kama unamtongoza na mkapanga mtoke akapata dharura kila siku, jua kwamba anamegwa tena ujue dharura mmpewa mambumbumbu wengi. Atasema nimeitwa na mama kumbe ananyonya koni.

#Wana vibiashara vidogo Kama karanga au pipi ambavyo huwakutanisha na wanaume wengi. Anaweza akawa na kiofisi kidogo Kama kiduka kidogo ili kila siku ajipatie danga jipya. Anajifanya ana duka ili jamii isijue kuwa yeye ni malaya.

#Hukataa wanaume anaofanya nao kazi sehemu moja. Hujifanya mtu wa Mungu mbele yao. Huposti vitu vya Mungu status. Ndugu zangu huko nje hawa watu huwa ni balaa😁

#Wacha Mungu ni malaya sana. Kuwa nao makini.

Mtu akishakuwa mcha Mungu hawezi kuwa Malaya.
Labda kama ume- misinterpret maana ya Mcha Mungu.

Sema Churchgirl au churchmonger
 
Hatari sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom