Wanawake wanaficha umalaya wao hivi, ni rahisi kuwajua

Mwanamke akikuambia "mimi wala sipo hivyo kama unavyonichukulia" basi ujue yupo hivyo hivyo kama unavyomchukulia.

Au akikuambia "mimi hua sifanyi hivi, ni kwako tu imetokea hata sijui imekuaje?" Hapo ujue unapigwa. Akili kumkichwa.
Au,.."mie najitambua sio kama wengine". Jua hiyo chupi mkononi.
 

Kama demu wako ni mtu wa.......
 
Sasa kwa mfano demu anapenda vitu vipya alaf wewe unashindwa kumhudumia vizuri lazima wahuni wamtombe tu,
Au unapiga kimoja chali unamuacha na hamu kibao lazima wahuni wamkunee
au lijanaume lenye asira za ajabu ajabu au humdumii yeye ndo anajitaftia anakulisha nawewe
#Wanawake wanaumia sana
Mwanamke hawezi kukusaliti hata siku moja akikupenda kwa moyo wake wote atakuona kama ww ni mungu kwake,kwahyo hata akitaka kukusaliti anasita labda unamuona
 
Mwenzenu nishapigwa hapa sound bar tv lg smart na laki 260.
Hivi nahaha na rb yangu kumtafuta mtu ambae cjui atapatikana wapi na wakati mie nilipanga ndio mwanamke wa kumuoa🥺🥺🥺🥺
 
Ukikutana naye ukaona kitu cha kwanza anauliza kama umenunua helmet, ujue ni mzoefu
 
"#Wacha Mungu ni malaya sana. Kuwa nao makini".

The above assertion is what we term as 'fallacy of generalization'.

Unakosea sana kusema WOTE wanaoshinda makanisani ni malaya, labda ungesema BAADHI yao.

Mungu akuhurumie.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.
Nilikutana na mmoja nkajua nipo peke yangu kumbe kuna mwingine, hadi nikahisi dini amefosiwa. Mimi nilijua nimepata wa peke yangu lakini ana mwingine.
Wa peke yako, hawahawa😁
 
Mkuu kama ulipewa ukala si bora utupe jobless konekshen na sisi tukajionee kuliko kuwa sema hapa .... Acha roho mbaya mzee mwanamke kazi yake nikutupa raha ...sisi kaziyetu ni kutafta pesa
 

Mtu akishakuwa mcha Mungu hawezi kuwa Malaya.
Labda kama ume- misinterpret maana ya Mcha Mungu.

Sema Churchgirl au churchmonger
 
Hatari sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…