Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

geekizuri02

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
18
Reaction score
60
Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani.

Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo kufanya akili zao kua na uhitaji wa pumziko zaidi kuliko wanaume, Pia tafiti zinaonesha matatizo na magonjwa yahusianayo na moyo(heart diseases) na kisukari (type 2 diabetes) kwa wanawake hutokana na kukosa usingizi wa kutosha ambao husaidia kuimarisha mifupa.

Mwandishi Michael Breus(daktari wa tabia za kiakili na mtaalam wa usingizi) katika makala yake aliandika, Sababu kubwa za wananwake kua na huzuni, hasira na kisirani kupindukia ni moja wapo na kukosa usingizi wa kutosha ili kupumzika.
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kuwa wewe unatakiwa kutangilia kulala au?
 
Dak 20 sio mbaya saana, isije ikawa masaa 2 au 20 bure 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…