Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

Mapenzi ni vita.

KATAA NDOA LINDA AMANI YAKO!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mwanume enjoy maisha kufa hakukwepeki . Hata uwe mwema kama malaika utakufa tu. Ya nini uitese nafusi yako kwaajiri ya kutaka kutuzwa kama mtoto uzeeni. Cha mhim hakikisha unaweka mipango ya kujitegemea uzeeni kama Mungu atakujaria kuzeheka na akili na afya.
 
Sijawahi ona hekima ya aina hii JF.
Genius.
 
Vip kuhusu wale wanao cheat live bila chenga wakati ndoa haina hata miezi 2 nao wana siri gani
 
Katika Qur'an kisa cha Yussuf kuna aya inasema "kaida hunna adhyima", wengone wametafdiri kuwa maana yake ni "vigtimbi vyao ni vizito".

Ukitaja kujuwa visa vya wanawake kuwa ni vizito na havijaanza leo, soma kitabu cha zamani sana cha Alf lela u lela.

Hakuna mwnamme anaeweza kumshinda mwanamke kwa ujanja. Never.

Watu wa pwani kuna ujanja wetu, mdogo tu, wa kumweka mwanamme chini yetu maisha, hafurukuti kwa aliyefundishwa huo na akautumia ipasavyo.

Hakuna cha uchawi, ushirikina wala limbwata, ni maraha tu. Hapinduwi tukitaka letu.
 
Naunga mkono hoja. Kuna jamaa yangu ana suffer now ni mara baada ya kukosa kazi kipindi katimkia kwa vimada aliowafungulia maduka n.k sasa wanamzingua kinoma kufikia hatua ya kuona ni Bora arudie familia. Mwanamke hataki kusikia hii habari kafaili kesi mahakamani anataka taraka na mgawananyo wa Mali mume kagoma kutoa maana Hana assert yoyote zaidi ya gari alizouza tayari ku fainance michepuko aliyozaa nayo.
Funzo kama unajijua hujatulia hakikisha unatafuta mwanamke mwenye akili, heshima, uchajaji, muelewa regardless muonekano wake hata usipokuwa mzuri Ila anakuheshimu jinsi ulivyo na ni mchapakazi aka mchakalikaji weka makao yako hapo. Pia hakikisha una assets kama viwanja na umejenga kabisa na kuwa na side hustle inayoweza kukutegemeza usilale njaa hapa maisha utakuwa umeyaweza na hakuna mwanamke mwenye uthubutu wa kumzingua mwanamume wa kariba hii.

Jamaa Sina hata haja ya kumtafuta alinipotezea kipindi ana hela zilipoisha akaanza kunitafuta na kunikopa fedha nizompa mpaka Leo hajarudisha tendo hili hata wife sijawahi mwambia kumstiri mwanamume mwenzangu.

Funzo; ufanikiwapo heshimu masela uliokua nao maana kuna Mambo kama haya jamaa ameishia kunikopa tu bila kunishirikisha anayopitia kwa sasa na kwa nafasi niliyonayo nauona uwezekano wa kuwasaidia kabisa kurudiana Ila Sina mzuka kwa namna jamaa alivyokuwa na dharau.
 
Uwwwh nimechoka tena siyo mwili tu na akili pia pia duh! Aiseeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…