Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume.
Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi WANAUME, kuhusu za makusudi baina ya wanawake wenyewe wanapaswa kufanya ili kuinua uchumi wao ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa bodii, kujifunza fursa mpya za kiuchumi na kupndoa mitazamo hasi baina Yao na jamii zetu ambapo mitazamo hiyo imepitwa na wakati.
Aidha wanawake wanapaswa kuondoa mitazamo ya kitegemezi na kuanza kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kujiinua kiuchumi.
Pamoja na majukumu mengi waliyonayo ndugu zetu Hawa ikiwa ni pamoja na malezi wanapaswa kufikiria pia Njia za kuweza kujiinua kiuchumi.
Mwisho.
Napenda kuwatakia Maadhimisho mema.