Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.
Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.
Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.
Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?
This is because you will find out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).
Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.
Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.
Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.