Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua
Hususani wale vimbaumbau ni hatar sanaBahati mbaya ukute ni mwanamke wa uswahilini, hakyamungu utatamani ardhi ipasuke..!!
Siku hazifanani mama,lakini siyo lazima mjikinge kwa kufyatua matusi makaliutakuwa umeamua kuyapata kwa nini utibue nyongo yake?
matusi makali hata mchungaji anayo mshike pabaya kama ajalikupaSiku hazifanani mama,lakini siyo lazima mjikinge kwa kufyatua matusi makali