Wanawake wanamidomo michafu sana

Wanawake wanamidomo michafu sana

Ila wanawake wanasemwa sana jmn daah[emoji28][emoji28][emoji28]! Ivi ina maana wanaume hawakosei au ndo desturi zenu tu wanawake kuvumilia na kukaa na vitu moyon??? believe me or not yaan ukifatilia threads nying umu ndan wanawake ndo wanasemwa vibaya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ivi ni kwel wanawake hawana jema jmn[emoji48][emoji48][emoji48]afu hawahawa utakuta wanajifanya kusema nan kama mama.........nataman itokee kila jinsia ipewe sayari yake ili tuone itakuaje![emoji40][emoji40][emoji40]
 
Mwanamke ameanza kusemwa toka enzi za adam na hawa wala hatuwaonei
 
Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua
Pole sana
 
Kwani wako na wanaume wengine mnayo misafi? Acha uzwazwa wa mujumuisho nyambaff
 
Back
Top Bottom