Wanawake wanamidomo michafu sana

Wanawake wanamidomo michafu sana

Jamani tuvumiliane tuu maana mazoea hujenga tabia na tabia ni kama ngozi haibadiliki.
 
Nilivyo na mwili jumba mwanamke gani atathubutu kunitukana mubashara kabisa..... ndio faida ya kuwa mlevi wa gym
 
Unaongea usioyajua.

Mara sijui Mama, sijui blah blah!

Hapa anayezungumziwa ni Mwanamke haijalishi yupo katika nafasi gani.
Sijui Mama, sijui Bibi au Shangazi haiwaondolei uanamke wao.

Pia zipo Sifa mbaya za wanaume kama Ubabe, au uchepukaji. Haijalishi ni Babaangu au Ankoo haiondoi uanaume wao.

Kwa vile ni Mama au ni Baba akiwa na mapungufu ndio tukae kimya.

Zama hizo zilipita Mkuu.

Nafaham ninachokiongea sababu naishi na mwanamke, sijakataa wao kukosolewa, napinga hoja yako iliyodai kuwa ukimthamini au kumjali mwanamke utaonekana chizi duniani.
 
Nafaham ninachokiongea sababu naishi na mwanamke, sijakataa wao kukosolewa, napinga hoja yako iliyodai kuwa ukimthamini au kumjali mwanamke utaonekana chizi duniani.
Sijasema kumjali au kumthamini mkuu. Nimesema ukijali kila anachoongea mwanamke utakuwa chizi.
Hasa mwanamke mjinga ndio utakufa kabisa.
 
Mkuu umenichekesha nanukuu "kujikuta upo kwenye wodi za agakhan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
 
Binafsi Huwa nasema Mwanaume hatakiwi kushindana na mwanamke. Atapoteza kesi tu aisee[emoji38] [emoji38]
e3239abbcff3d8f164d7d96e651a80db.jpg

Kwa kweeli kuna wanawake wanayajua maneno ya kuudhi si mchezo, usiombe mkutane kwenye ugomvi. Hata wanaume pia wapo ila hawawezi kutufikie sie bhana
 
Usiombe ukakutana na mzaramo haa haa
Utajuta kuzaliwa
 
Mbona umegeneralize??
Sio wote wana maneno hayo au mda huo.mi mda wa kumtukana mtu mzima na timamu zake nautolea wapi!?
Kuna wanawake wanajua kusave energy zao kufanyia mambo mengine.
Na pia wanaogopa kuonekana wendawazimu

U said it all mm ni mwanqamke lakini deep inside sipend matusi na sijui ht kupangilia hayo matusi yaan mimi hakuna kbs sio wote,yaan unikute namtukana mtu ah wap sina huo muda weng watukanaji mara nying wanakuwa wana fruastions kali sn ,hawawez kuzicontrol,wotetuna stress lakin sio ndo unikosee kiduchu ndo nifungulie bomba la matusi kha....sio wote kbsaaa
 
Me mwenyewe yamenikuta hayo
Nlikuwa naishi na mke wangu vizuri tu
Basi kuna jamaa akampelekea umbea kuwa ninamchepuko duuh huo moto wake ni matata alinitukana mpaka nikahisi pengine hana wazazi nini haitoshi hiyo kampigia simu mama yangu mzazi kamtukana hatari matusi mengine hayaelezeki so saiv kila mmoja anaishi kivyake na nimeanza na kunenepa maana nlikonda wazaramo ni hatari

hahahahha pole sana mkuu sasa mama ameingiaje hapo dah pole nyingi..usigeuze kichwa utakwishaa
 
Nakumbuka cku moja kuna Bwana namfahan ndoa yake ilikuwa inataka kupinduka,yeye na mkewe wakaitwa mahali kwaajili ya kushauriwa.Kila m2 alipewa nafas ya kuzungumza lkn ilipofika zamu ya mwanamke alimsema mumewe mbele ya wazaz wa pande zote na ndugu wengine kwa maneno haya huku akilia "Ww unajiita mwanaune lakn huna uwezo wa kunit*mb* nikaridhika,k*ma la m*ma yako ms*ng* Ww" watu wote iliwabidi waondoke mmoja mmoja bila kuaga.Kilichonishangaza ni kuwa mbona wameishi kwa muda mref mpaka wamezaa watoto wawili na kuanzisha mirad mbalimbali!!! Women are so geneous
Na unafikir wako salama? Je alijenga picha gani mbele ya Mungu na wazee waliokuwepo kwenye hicho kikao? Kufungua miradi ndio ndoa itakua salama? Baada ya matusi yale cheki mahusiano yao na Mungu. ..hivi utamkie mume wako wa ndoa matusi ya nguoni na kumtukania mama yake aliemzalia huyo mume anayemtukana then you just walk free na maisha yaende vizuri? Na huyo mama mzazi alietukaniwa alikua hapo?
Fuatilia na watoto wao tabia zao..kama hilo tukio liliachwa kama lilivo nakuambia hawatasogea popote, usijidanganye na miradi!! Ulimi ni mbaya sana
 
kabisa mkuu smtym bora kudhibiti hasira zako aic,mby mno hyo inakuw km laana ya ndoa kila mnachofanya kinafail
 
Tena wakionaga haitoshi wanakusanyana mafungu mpaka mlangoni hapo ndo utatia akili
 
Back
Top Bottom