Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda ubuyu weweAisee ebu tutajie uliyotukananwa maake huu ugomvi wa kimahusiano hasa akiwa anataka kukuacha lazima akutafute na utafutike kweli Pole
Ahsant sanaPole kwa yaliyokukuta
Unaongea usioyajua.
Mara sijui Mama, sijui blah blah!
Hapa anayezungumziwa ni Mwanamke haijalishi yupo katika nafasi gani.
Sijui Mama, sijui Bibi au Shangazi haiwaondolei uanamke wao.
Pia zipo Sifa mbaya za wanaume kama Ubabe, au uchepukaji. Haijalishi ni Babaangu au Ankoo haiondoi uanaume wao.
Kwa vile ni Mama au ni Baba akiwa na mapungufu ndio tukae kimya.
Zama hizo zilipita Mkuu.
Huyo lokole ndio yule kijana huwa anabeba pochi ya dada yake diamind?Wapo pia wanaume wenye midomo michafu. Mfano Juma Lokole
Sijasema kumjali au kumthamini mkuu. Nimesema ukijali kila anachoongea mwanamke utakuwa chizi.Nafaham ninachokiongea sababu naishi na mwanamke, sijakataa wao kukosolewa, napinga hoja yako iliyodai kuwa ukimthamini au kumjali mwanamke utaonekana chizi duniani.
Ndiye mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo lokole ndio yule kijana huwa anabeba pochi ya dada yake diamind?
![]()
Kwa kweeli kuna wanawake wanayajua maneno ya kuudhi si mchezo, usiombe mkutane kwenye ugomvi. Hata wanaume pia wapo ila hawawezi kutufikie sie bhana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hususani wale vimbaumbau ni hatar sana
Mbona umegeneralize??
Sio wote wana maneno hayo au mda huo.mi mda wa kumtukana mtu mzima na timamu zake nautolea wapi!?
Kuna wanawake wanajua kusave energy zao kufanyia mambo mengine.
Na pia wanaogopa kuonekana wendawazimu
Me mwenyewe yamenikuta hayo
Nlikuwa naishi na mke wangu vizuri tu
Basi kuna jamaa akampelekea umbea kuwa ninamchepuko duuh huo moto wake ni matata alinitukana mpaka nikahisi pengine hana wazazi nini haitoshi hiyo kampigia simu mama yangu mzazi kamtukana hatari matusi mengine hayaelezeki so saiv kila mmoja anaishi kivyake na nimeanza na kunenepa maana nlikonda wazaramo ni hatari
Na unafikir wako salama? Je alijenga picha gani mbele ya Mungu na wazee waliokuwepo kwenye hicho kikao? Kufungua miradi ndio ndoa itakua salama? Baada ya matusi yale cheki mahusiano yao na Mungu. ..hivi utamkie mume wako wa ndoa matusi ya nguoni na kumtukania mama yake aliemzalia huyo mume anayemtukana then you just walk free na maisha yaende vizuri? Na huyo mama mzazi alietukaniwa alikua hapo?Nakumbuka cku moja kuna Bwana namfahan ndoa yake ilikuwa inataka kupinduka,yeye na mkewe wakaitwa mahali kwaajili ya kushauriwa.Kila m2 alipewa nafas ya kuzungumza lkn ilipofika zamu ya mwanamke alimsema mumewe mbele ya wazaz wa pande zote na ndugu wengine kwa maneno haya huku akilia "Ww unajiita mwanaune lakn huna uwezo wa kunit*mb* nikaridhika,k*ma la m*ma yako ms*ng* Ww" watu wote iliwabidi waondoke mmoja mmoja bila kuaga.Kilichonishangaza ni kuwa mbona wameishi kwa muda mref mpaka wamezaa watoto wawili na kuanzisha mirad mbalimbali!!! Women are so geneous
Na unafikir wako salama? Je alijenga picha gani mbele ya Mungu na wazee waliokuwepo kwenye hicho kikao? Kufungua miradi ndio ndoa itakua salama? Baada ya matusi yale cheki mahusiano yao na Mungu. ..hivi utamkie mume wako wa ndoa matusi ya nguoni na kumtukania mama yake aliemzalia huyo mume anayemtukana then you just walk free na maisha yaende vizuri? Na huyo mama mzazi alietukaniwa alikua hapo?
Fuatilia na watoto wao tabia zao..kama hilo tukio liliachwa kama lilivo nakuambia hawatasogea popote, usijidanganye na miradi!! Ulimi ni mbaya sana