Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke ameanza kusemwa toka enzi za adam na hawa wala hatuwaoneiIla wanawake wanasemwa sana jmn daah[emoji28][emoji28][emoji28]! Ivi ina maana wanaume hawakosei au ndo desturi zenu tu wanawake kuvumilia na kukaa na vitu moyon??? believe me or not yaan ukifatilia threads nying umu ndan wanawake ndo wanasemwa vibaya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ivi ni kwel wanawake hawana jema jmn[emoji48][emoji48][emoji48]afu hawahawa utakuta wanajifanya kusema nan kama mama.........nataman itokee kila jinsia ipewe sayari yake ili tuone itakuaje![emoji40][emoji40][emoji40]
Pole sanaNapata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua
Kwani wako na wanaume wengine mnayo misafi? Acha uzwazwa wa mujumuisho nyambaffNapata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua