Wanawake wanamidomo michafu sana

Nakumbuka cku moja kuna Bwana namfahan ndoa yake ilikuwa inataka kupinduka,yeye na mkewe wakaitwa mahali kwaajili ya kushauriwa.Kila m2 alipewa nafas ya kuzungumza lkn ilipofika zamu ya mwanamke alimsema mumewe mbele ya wazaz wa pande zote na ndugu wengine kwa maneno haya huku akilia "Ww unajiita mwanaune lakn huna uwezo wa kunit*mb* nikaridhika,k*ma la m*ma yako ms*ng* Ww" watu wote iliwabidi waondoke mmoja mmoja bila kuaga.Kilichonishangaza ni kuwa mbona wameishi kwa muda mref mpaka wamezaa watoto wawili na kuanzisha mirad mbalimbali!!! Women are so geneous
 


Kwa kweeli kuna wanawake wanayajua maneno ya kuudhi si mchezo, usiombe mkutane kwenye ugomvi. Hata wanaume pia wapo ila hawawezi kutufikie sie bhana
 
Me mwenyewe yamenikuta hayo
Nlikuwa naishi na mke wangu vizuri tu
Basi kuna jamaa akampelekea umbea kuwa ninamchepuko duuh huo moto wake ni matata alinitukana mpaka nikahisi pengine hana wazazi nini haitoshi hiyo kampigia simu mama yangu mzazi kamtukana hatari matusi mengine hayaelezeki so saiv kila mmoja anaishi kivyake na nimeanza na kunenepa maana nlikonda wazaramo ni hatari
 
Tatizo huwa wanakaa mbali wakati wanatukana! wanaongea huku wanarudi nyuma...
 
Ex wangu kuna kipindi nilinunua line mpya ya mawasiliano ikatokea tu namzingua kama kuntongoza alinitumia sms za matusi hayooo akaona haitoshii akapiga alinitukanaaa matusi mazitooooo mazitoooo baadae nikamwambia hivi wewe kwa matusi hayo unategemea uwe mama wa watoto wangu?
 
Yan nimechekaaaas kama mazurii
 
Yan mwanamke anamatusii mazitooo mpka unajiuliza aliyajulia wapi na ushadate naye kwa miaka miwili lakin hukuwah kujua anavyotukana nikasema hapa utakuta mama yako mzazi kakalishwa anatukanwa vibaya mnoo
 
Mkuu weka na kapicha basi make hawa viumbe wamejazwa na kila aina ya maneno, matamu na machungu yote yao tu.
 
Sio wote dear.
 
Wanawake ukiwajali utakuwa chizi humu duniani.

Hupaswi kuendeshwa na maneno ya wanawake. Na wakijua hivyo hawawezi kukutukana.

Ukiwapa uzito wanawake umeumia mkuu.

Mama yako asingekupa uzito pengine leo usingekuwepo hapa kuyasema hayo.
tusipende ku generalize mambo jamani, sio wanawake wote ni wa hovyo, sikatai wanawake wengi wa karne hii wamekuwa wasumbufu, lkn hili halipo kwa upande wao tu, hata sisi wanaume tunaongoza kwa madudu.
 
Hao wanawake mnawatoaga machakoni??
 
Siku anitukane hata aniite tu mjinga atanijua rangi yangu
 
Wapo pia wanaume wenye midomo michafu. Mfano Juma Lokole
 
Jitahidi umiliki wallet iliyotuna uone kama watanyayua kinywa kukutukana
 

Unaongea usioyajua.

Mara sijui Mama, sijui blah blah!

Hapa anayezungumziwa ni Mwanamke haijalishi yupo katika nafasi gani.
Sijui Mama, sijui Bibi au Shangazi haiwaondolei uanamke wao.

Pia zipo Sifa mbaya za wanaume kama Ubabe, au uchepukaji. Haijalishi ni Babaangu au Ankoo haiondoi uanaume wao.

Kwa vile ni Mama au ni Baba akiwa na mapungufu ndio tukae kimya.

Zama hizo zilipita Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…