Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

Unajua kama ilivyo kawaida; wanawake wanapenda sana ukisasa, ni bendera fata upepo. Ikitokea kampeini ya watu kutotahili (namaanisha wanaume) hutasikia tena wanaume wenye magovi wakipondwa.
 
hongera kwa kuwa na mkono wa sweta naona unajisifia kwel, uchafu mtupu naona unautafuta ukimwi kwa bidii zote ongeza juhudi, ila wapo watakao kuja kukukumbusha hayo maneno ukiwa umelala kitandan na huwez kufanya kitu chochote.badilika.
 
Ukimwi haupaswi kukumbukwa wakati wa maraha.
 
promo kwa watu kuleeeeeee,
ambako sasa madaktari wahimiza vikatwe hivyo vigovi kuondoa maambukizi ya maradhi ya ngono.
Upuuzi mwingine wa kushabikia govi
 
Muongo wewe.....tangu lini mtu mwenye govi huwa anamsababishia mwanamke maraha? Hilo lingozi linaraha gani?
 
hongera kwa kuwa na mkono wa sweta naona unajisifia kwel, uchafu mtupu naona unautafuta ukimwi kwa bidii zote ongeza juhudi, ila wapo watakao kuja kukukumbusha hayo maneno ukiwa umelala kitandan na huwez kufanya kitu chochote.badilika.
Unaijua JF wewe?
Tuache wakongwe tumiliki hadhira kwa raha zetu
 
Uzuri wa govi ni kwenye maswala ya punyeto. Mwanamke anapenda anavyoinyeto inaenda kwa urahisi hata wewe itakuwa inakusaidia sana basi tu
 
Malyenge unabisha nini sasa? Unaisifia/ unaipondea mvua kwa sababu imekunyeshea?

Hilo lingozi lilikuwapo kwenye mwili wangu kabla sijalitoa. Ukienda kuoga lazima uli-chunye ili kulisafisha na linatoa harufu kali kweli....Sasa katika hali ya harufu hiyo unategemea nini kama si bakteria na magonjwa? Halafu likiingia linajikunja mpaka unasikia maumivu ya sehemu palipojikunja. Lo! phuuu...nenda kalikate bwana maana ni aibu na huwezi kuvua nguo mbele za wanaume wenzio.....
 
Ah Bujibuji weee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…