Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

kuna uhusiano gani kati ya kutokutahiriwa na na raha wakati wa kujamiiana?
 
Duuuh, mkuu unajisifia mkono wa sweta? Lazima utakua unamkubali sana sterling wa kihindi aendae kwa jina la Govinda.
 
Miaka hii sio sifa tena kusema umetembea na mtaa mzima, hlf Huo mkono sweta unakuongezea hatari zaid. Hiyo miaka 60 unaweza usifike.
 
Nimehamia maeneo ya Ukonga siku si nyingi nikikimbia Tabata nilikokuwa nikiishi.
Kilicho nikimbiza Tabata ni kero ya wanawake pale mtaani, kila mwanamke anataka nilale nae.
Huku Ukonga nilimuonja mmoja, akaenda kumwambia mwenzake kuwa nina hazina ya maraha iliyofichika.
Mwenzake akaja, sikumnyima.
Tangu nimehamia huku tayari nimesha wagegeda tisa, na wamesha anza kupigana kwa ajili yangu.
Siri iliyoko nyuma ya pazia ni kwamba, wanafuahishwa sana na mkono wangu wa sweta.
Kwa sasa sitaki tohara, mpaka ntakapofikisha miaka sitini

Angalia usije mwagiwa Tindikali maana kati ya ulio wagegeda wengine wanaweza kuwa wake/mademu za watu
 
Nakusubir ulewe nikufunge kamba nikupeleke hospital maana licha ya kututia aibu uko kwenye risk kubwa ya kupata STD's.
 
Nimehamia maeneo ya Ukonga siku si nyingi nikikimbia Tabata nilikokuwa nikiishi.
Kilicho nikimbiza Tabata ni kero ya wanawake pale mtaani, kila mwanamke anataka nilale nae.
Huku Ukonga nilimuonja mmoja, akaenda kumwambia mwenzake kuwa nina hazina ya maraha iliyofichika.
Mwenzake akaja, sikumnyima.
Tangu nimehamia huku tayari nimesha wagegeda tisa, na wamesha anza kupigana kwa ajili yangu.
Siri iliyoko nyuma ya pazia ni kwamba, wanafuahishwa sana na mkono wangu wa sweta.
Kwa sasa sitaki tohara, mpaka ntakapofikisha miaka sitini
mi nafikiri ututafutie mmoja kama lara1 tuone kama naye atakuvulia kofia..infact akinyoosha mikono juu ntafurahi.
 
Back
Top Bottom