Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

Kwa usalama wa huyu mtu, Naomba vyombo vya Dola vimchunguze na kuhakika anafanyiwa operation Ondoa mkono wa sweta.... La sivyo anatuchafulia dada zetu tu na kuwapa magonjwa.
 
Penny Money Penny njoo huku yu
 
Acha tu nicheke,
 
Bujibuji,ina Maana yule mdada mzuri mzuri anayenyoa kipara alikuwa anaulalia mkono wa sweta?
Ndio Mali yake, halafu hataki uondolewe. Mkigombana wee mwambie naenda kulikata hili lilikuwa mkono lako la sweta. Ugomvi unaishi sekunde hiyohiyo
 
Wee tupange usiku mmoja tu, tuone kama hujaanza kuzungusha picha yangu kwa waganga na manabii ili niwe wako peke yako
Hapana aisee hilo lichafu chafu haliwezi kunikula mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…