Wanawake Wanaobadili Jinsia katika Magereza ya Marekani waamriwa kuhamishiwa Magereza ya Wanaume

Hujaelewa Hao ni wanaume ambao wamejidunga sindano za homoni kupata muonekano wa kike ( shemales)
Soma heading na maelezo ya mleta mada kwa umakini zaidi,

Wanawake waliobadili jinsia,
Haijaandikwa Wanaume waliobadili jinsia.

Ingeandikwa Wanaume waliobadili jinsia ndio ungekua upo sahihi.
 
Na wale wanaume waliojibadilisha jinsia na kuwa wanawake nao watahamishiwa kwenye gereza la wanawake?
 
Yaan nacheka kama mazuri 😂😂😂😂😂
 
YUko sahihi,si wanataka kuwa wanaume sasa kelele za nini tena...
 
Unataka
Trump anapiga kila kona,ameanza na suala la talaka,sasa yupo na wafungwa wanawake wanaobadili jinsia,najua suala la wahamiaji haramu na mashoga atakuja na sheria kali. Ivi mm ni me, je naweza badili jinsia na kuwa ke niwe napigwa miti? Inawezekana?
upigwe miti?
 
H

HIi hatari sana watabakwa sana magereza ya kiume trump ana akili fupi sana, huwezi kuwaadhobu watu namna hii ,huu ni uuwaji pamoja na makosa yao
Atabakwa vipi na yeye huku mbele ni mwanaume...?
 
Trump anapiga kila kona,ameanza na suala la talaka,sasa yupo na wafungwa wanawake wanaobadili jinsia,najua suala la wahamiaji haramu na mashoga atakuja na sheria kali. Ivi mm ni me, je naweza badili jinsia na kuwa ke niwe napigwa miti? Inawezekana?
Inawezekana. - Uko tayari mkuu, Mimi ni dalali wa huo mchongo? 😂
 
Trump kama lisu tu, hacheki na kima
 
Hii amri imekaa poa sana.

By the way;
Hivi kubadili jinsia Huwa kinafanywaje haswa? Kwa Wenye ufahamu.
Nenda youtube utaona kila kitu ni operation kabisaa na wanaziba papuchi wanawekewa mkonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…