Wanawake Wanaobadili Jinsia katika Magereza ya Marekani waamriwa kuhamishiwa Magereza ya Wanaume

Hujaelewa Hao ni wanaume ambao wamejidunga sindano za homoni kupata muonekano wa kike ( shemales)
Unaona madhara ya shule za serikali?
Muandishi na wachangiaji wengi hawajaelewa kiingereza.
Wanadhani transgender women ni wanawake waliobadili jinsia kuwa wanaume kumbe Ni wanaume waliobadili jinsia kuwa wanawake.
 
Unaona madhara ya shule za serikali?
Muandishi na wachangiaji wengi hawajaelewa kiingereza.
Wanadhani transgender women ni wanawake walijibadili kuwa wanaume kumbe Ni wanaume walijibadili jinsia kuwa wanawake.
Mashoga ndio wanajua kutofautisha wasio mashoga hawawezi kutofautisha. Umenitisha mkuu
 
Wengine wanayo bandia ila wengine hawana shimo lipo pale pale kma una mfahamu chokuu yule kafanya upasuaji wa maziwa ila yeye mwanaume now ana maziwa ila sio kama ya mwanamke yake katikati kuna uwazi mkubwa
Kutoka Mwanaume kuwa Mwanamke ni rahisi sana, ila kutoka Mwanamke kuwa mwanaume ni kipengere
 
Duuh, watu wana uchu gerezani then wanaletewa kijimwanume kilichoamua kuwa kidada, guess what?
 
Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa magereza, na usalama wa wafungwa.

Hatua hii inawaathiri maelfu ya wanawake wanaobadili jinsia kote nchini, na kusababisha wasiwasi mkubwa juu ya usalama wao katika magereza ya wanaume. Watetezi wengi wa haki za binadamu wanasema sera hii inahatarisha ustawi wa wafungwa wanaobadili jinsia, huku wengine wakidai kuwa ni muhimu kudumisha mgawanyo wa kijinsia katika magereza.

Uamuzi huu unatarajiwa kuathiri kesi za kisheria zinazoendelea kuhusu jinsi watu wanaobadili jinsia wanavyotendewa katika mfumo wa magereza ya Marekani. Wabunge na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu wanatarajiwa kushinikiza sheria mpya zitakazolenga usalama na haki za kibinadamu za watu wanaobadili jinsia walioko magerezani.

View attachment 3215238
Aiseee watapelekewa moto sema dah huyu mwamba n htr watu wapelekewe utelezi uko jela wasahau ukumu yao
 
Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa magereza, na usalama wa wafungwa.

Hatua hii inawaathiri maelfu ya wanawake wanaobadili jinsia kote nchini, na kusababisha wasiwasi mkubwa juu ya usalama wao katika magereza ya wanaume. Watetezi wengi wa haki za binadamu wanasema sera hii inahatarisha ustawi wa wafungwa wanaobadili jinsia, huku wengine wakidai kuwa ni muhimu kudumisha mgawanyo wa kijinsia katika magereza.

Uamuzi huu unatarajiwa kuathiri kesi za kisheria zinazoendelea kuhusu jinsi watu wanaobadili jinsia wanavyotendewa katika mfumo wa magereza ya Marekani. Wabunge na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu wanatarajiwa kushinikiza sheria mpya zitakazolenga usalama na haki za kibinadamu za watu wanaobadili jinsia walioko magerezani.

View attachment 3215238
Ah huyu jamaa mwamba kweli kweli hataki kupepesa macho. Tunaweka fwakti kama fwakti
 
Mashoga ndio wanajua kutofautisha wasio mashoga hawawezi kutofautisha. Umenitisha mkuu
Kwa maana hiyo wewe pia ni shoga? Nilikuwa sijui aisee.
Sababu umejua kutofautisha hapo chini 👇👇
Hujaelewa Hao ni wanaume ambao wamejidunga sindano za homoni kupata muonekano wa kike ( shemales)
 
Trump Kila siku anakuja na mapya .

Ameamuru waliokuwa wanaume Kisha kubadili Jinsia zao ili wawe wanawake Warudishwe kwenye jela za Kiume kwani hao sio wanawake.

Trump anadai hata pesa za Matibabu Yao zisitishwe mara Moja.

Swali: Hivi haya maagizo ya Trump yanatekelezwa au ni vichekesho tuu 🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪😆😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFU5AxcNDIX/?igsh=MTcwazJha29mcXNoZQ==
 
Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa magereza, na usalama wa wafungwa.

Hatua hii inawaathiri maelfu ya wanawake wanaobadili jinsia kote nchini, na kusababisha wasiwasi mkubwa juu ya usalama wao katika magereza ya wanaume. Watetezi wengi wa haki za binadamu wanasema sera hii inahatarisha ustawi wa wafungwa wanaobadili jinsia, huku wengine wakidai kuwa ni muhimu kudumisha mgawanyo wa kijinsia katika magereza.

Uamuzi huu unatarajiwa kuathiri kesi za kisheria zinazoendelea kuhusu jinsi watu wanaobadili jinsia wanavyotendewa katika mfumo wa magereza ya Marekani. Wabunge na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu wanatarajiwa kushinikiza sheria mpya zitakazolenga usalama na haki za kibinadamu za watu wanaobadili jinsia walioko magerezani.

View attachment 3215238
Hii nchi Bora tu Trump kashinda
Wanetaka wenyewe watulie humo ss
 
H

HIi hatari sana watabakwa sana magereza ya kiume trump ana akili fupi sana, huwezi kuwaadhobu watu namna hii ,huu ni uuwaji pamoja na makosa yao
Amewaadhibu vipi wakati ni jinsia yao ila wapuuzi
 
Back
Top Bottom