Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

Hii ina ukweli?
Sanamkuuy nimefanya na tafitii.....kuna wakati huko nyuma wifi shemejiyenu alikuwa anaenda gym sijui nkasema niende nikakate tumboo nkamkuta yuko na mke wa bosi wangu na mke wa mfanyakazi mwenzangu wote ndan kumevurugwa 😂 😂 nkaagaaa...
 
Before Gym ilikuwa good wanawake wanaenda kweli kufuata mazoezi, ila kiukweli kabisa kwa sasa imegeuka kuwa fursa kwa wadada wengi wa mijini.
mwanamke anayeenda gym na hajatulia utamtambua kwa mavazi yake tu. Wengi wanapiga suruali za tight.
 
Watu humu mnageneralize issues. Kwamba wake za watu wanaoenda gym wanaliwa na gym trainers ni uwongo mkubwa kama ziko kesi kama hizo, ni kwa sababu aliyaka mwenyewe kama ambavyo wanavyofanya wasioenda gym.
 
Inaeleweka hio kwamba GYM ni eneo ambalo biashara ya uasherati imestawi sana kwa miaka ya hivi karibuni bila kusahau zile Jogging Clubs na events ambazo zinaandaliwa kikanda huwa ni mojawapo ya shughuli za kimkakati za kukutanisha waasherati wa mikoa mbali mbali.
Maswala yako ya marathon hayo mwanangu, haha
 
Back
Top Bottom