Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

Hii ina ukweli?
Sanamkuuy nimefanya na tafitii.....kuna wakati huko nyuma wifi shemejiyenu alikuwa anaenda gym sijui nkasema niende nikakate tumboo nkamkuta yuko na mke wa bosi wangu na mke wa mfanyakazi mwenzangu wote ndan kumevurugwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ nkaagaaa...
 
Before Gym ilikuwa good wanawake wanaenda kweli kufuata mazoezi, ila kiukweli kabisa kwa sasa imegeuka kuwa fursa kwa wadada wengi wa mijini.
mwanamke anayeenda gym na hajatulia utamtambua kwa mavazi yake tu. Wengi wanapiga suruali za tight.
 
Watu humu mnageneralize issues. Kwamba wake za watu wanaoenda gym wanaliwa na gym trainers ni uwongo mkubwa kama ziko kesi kama hizo, ni kwa sababu aliyaka mwenyewe kama ambavyo wanavyofanya wasioenda gym.
 
Maswala yako ya marathon hayo mwanangu, haha
 
Nyegge na ashki ni kama kiu ya maji, kunywa soda mia lakini bado kuna kijitaarifa kwenye ubongo kinakukomandi unywe maji. MaQu na mjegeje sio vitu vya mchezo mchezo.

Sema nini!....kutiana raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…