M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,270 Mar 29, 2024 #21 Acha wivu mkuu wao wenyewe mbona hawalalamikii hicho ulichokisema, kwanza wanafurahia na ukiwa unamtendea hivyo utaona hata minyama anakuzidishia
Acha wivu mkuu wao wenyewe mbona hawalalamikii hicho ulichokisema, kwanza wanafurahia na ukiwa unamtendea hivyo utaona hata minyama anakuzidishia
Euphra JF-Expert Member Joined May 17, 2023 Posts 522 Reaction score 1,082 Mar 31, 2024 #22 Sometimes hawana namna, kuna kazi zinadhalilisha sana
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 31, 2024 #23 Kuna jamaa yangu mpaka nilimchana, muhudumu akija mpaka amshike mikono mara mabega. Alikuwa ananikera mno. Hawa watu ni wapenzi wa watu, imagine mpenzi wako anashikwashikwa hiyo. Kama umumuelewa, chukua ongea naye kwa heshima
Kuna jamaa yangu mpaka nilimchana, muhudumu akija mpaka amshike mikono mara mabega. Alikuwa ananikera mno. Hawa watu ni wapenzi wa watu, imagine mpenzi wako anashikwashikwa hiyo. Kama umumuelewa, chukua ongea naye kwa heshima
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Mar 31, 2024 #24 Wengi wao huja mjini wakitoka vijijini, wanaingia mijini na tabia zao njema na ushamba wa kijijini. Sasa akikaa hata wiki tu anaanza kuiga tabia za wenzie/boss wake. Ni wachache hubaki na tabia zao njema.
Wengi wao huja mjini wakitoka vijijini, wanaingia mijini na tabia zao njema na ushamba wa kijijini. Sasa akikaa hata wiki tu anaanza kuiga tabia za wenzie/boss wake. Ni wachache hubaki na tabia zao njema.