Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

Ni sahihi mwanamke kutoheshimika kwasababu anahitaji pesa?

  • Hapana

    Votes: 2 14.3%
  • Sio sahihi

    Votes: 12 85.7%

  • Total voters
    14
Wengi wao huja mjini wakitoka vijijini, wanaingia mijini na tabia zao njema na ushamba wa kijijini.

Sasa akikaa hata wiki tu anaanza kuiga tabia za wenzie/boss wake.
Ni wachache hubaki na tabia zao njema.
 
Back
Top Bottom