Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mmbea wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niongee kitu kimoja kidogo tu hapa kwa wanaume wote wenye hii mentality,niwakumnbushe tu kuwa kuna siku inaitwa kesho,siku ambayo hauna mkataba nayo, siku ambayo utaitwa baba wa binti fulani ,siku ambayo haijakupa uhakika wa kwamba binti yako ni lazima ataolewa in her twenties, siku ambayo haitayazuia maumivu yako ya kujua binti yako anapitia kwenye mikono ya wanaume wasio na huruma kisa tu ana mentality za ndoa, na pia tusisahau wakuu what goes around comes around, na pia hakuna kitu kinamuuma baba kama kuona binti yake akipitia maumivu makali sana (kwa baba wenye binti na wanawapenda nadhani wananielewa ila wasio na mabinti piteni tu kimya kimya)

so guys play the game safe knowing there is tomorrow with a lot of uncertainties.
 
Nipo home nimetulia tena mi nipic balaa nawala sitaki kuolewa kwani kuolewa ni nini tafuta stori nyengine Miaka 40 Bado nipo home
 
Na wakigonga 60 wanageuka kua wanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…